HISTORIA FUPI YA MAMBO SAFI GROUP
“Mmbo Safi Group” ni taasisi ya vijana inayotambuliwa kisheria na baraza la sanaa la Taifa BASATA\ BST\3663 imesjiliwa tarehe 25\09\2008, kuendesha shughuli za vijana uchumi, sanaa, michezo na kuhamasisha, maendeleo ya jamii ndani na nje ya nchi, Makao yake yapo mtaa wa kimara baruti, kata ya kimara, wilaya ya Kinondoni, Mkoa wa Dar es Salaam.
UZOEFU WA KAZI KITAIFA NA KIMATAIFA
Taasisi ya “Mambo Safi Group” tayari tumepata uzoefu wa kitaifa na kimataifa kwa kipindi hiki tangu tupate usajiri kwa kushiriki n kushirikishwa shughuli a kijamii na kwa kuzifanikisha kikamilifu kama ifuatavyo:-
Tumepata tuzo ya kuwa washindi w pili wa taifa ktika shindano l kutunga wimbo bora wa rushwa,shindano lililoandaliwa na chama cha waandishi wanahabari wanawake(TAMWA) mwaka 2007, shindano lililo washindanisha wasanii mbalimbali.
Shahidi Aeleza Alivyogundua Maudhui Yenye Jinai Katika Kesi Uhaini
-
MKAGUZI wa Polisi kutoka Kitengo cha Upelelezi wa Makosa ya Mtandao, PF
22863 John Kaaya (45), ameieleza Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Dar es
Salaam, nam...
0 comments:
Post a Comment