Hii ilikuwa si "dondo" kama vijana wasemavyo bali ni kabumbu safi iliyoonyeshwa na vijana wa Jimbo la ubungo huku jumla ya timu 32 zikimenyana. Mh. Dr. FENELLA MUKANGARA (MB) Wizara ya habari, vijana, utamaduni na michezo akiwa katika ligi yake ya "Umoja na Amani Super Cup" jimbo la ubungo iliyo ratibiwa na Mambo Safi Group.
MAWAKILI WA SERIKALI TOENI USHAURI UNAOZINGATIA MASLAHI YA TAIFA
-
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza kwa njia ya mtandao na
waajiriwa wapya wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mafunzo
elekezi...
0 comments:
Post a Comment