
Dk.Fenella MukangaraWaziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo (Tanzania) amekua mgeni rasmi katika ufunguzi wa kambi ya vijana iliyoandaliwa na IYF katika ukumbi wa Mlimani city Dar es Salaam. Ameonge mengi kuhusu vijana, kikubwa ni changamoto...
Youth Education, Culture and Entertainment is our MOTTO! We believe that culture and traditions can be a userful tool towards community development and social education.