MH. KOKA KUTEMBELEA MAMBO SAFI GROUP

“MAMBO SAFI GROUP” tarehe 06/01/2013 tutatembelewa na Mh. Koka mbunge wa jimbo la kibaha mjini atakaeambatana na mama Serina Koka na viongozi wengine wapatao watano kimara Baruti Dar Es Salaam. “MAMBO SAFI GROUP” tupo katika maandalizi...

0 comments
 
Mambo Safi Group © 2014 | JM Designs