Wadau wa mpira na wananchi wakifuatilia ligi ya Mh. Dr. Fenella Mukangara (MB)
Je wewe mpenda mpira? na mpenda Amani?
Mambo Safi Kilele cha mwenge na Nyerere day Tabora 2014
Ziara ya Mh. James Kajugusi.
Mambo Safi Group- Waandaaji wa "UMOJA NA AMANI SUPER CUP"
Michuano hiyo ilileta taswiri tofauti na kuwaleta vijana pamoja toka sehemu mbalimbali maana michezo ni Afya, Amani, Mshikamano na Upendo. Umoja na Amani super Cup yalikuwa ni mashindano ya aina yake huku yakichezeshwa na marefarii bingwa. Hii inaonyesha ni jinsi gani vijama wanaweza kufanya mambo mazuri na makubwa ambayo yanaweza kuwafanya vijana wakaja pamoja, wakasahau shida zao na kuburudika pamoja huku wakipata elimu ya kujitambua, kutambua fulsa mbalimbali zitakazowasaidia kujikwamua kimaisha.
Shukrani za pekee kwa Mama Mh. Dr. Fenella Mukangara (mb), kwa kufadhili mashindano hayo ambayo kmila kijana aliyafurahia, tukishuhudia mashabili lukuki toka katika vilabu vyote 32, na kikubwa zaidi ni kwamba tangu michuano inaanza mpaka inamalizika hapakuwapo na matukio yoyote ya uvunjifu wa amani, hili ni jambo la kujivunia kwa MAMBO SAFI GROUP na vijana wote kwa ujumla, bila kuvisahau vyombo vya dola.
Athari za madawa ya kulevya kwa vijana.
Jamii hususani vijana wanashauriwa kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya mbayo yamekuwa yakiathiri nguvu kazi ya Taifa na kuwafanya vijana wengi kuishi katika hali hatalishi na kuendelea kuilalamikia serikali kutowajali na kuwatengenezea miundombinu ya kupiga hatua kimaisha.
Matokeo ya Ualimu ngazi ya cheti 2013 haya hapa!
Mh. Dr. Fenella mukangara awa mgeni rasmi katika sherehe za 2013 IYF world Camp Tanzania
Changamoto hizo ni pamoja na Mtazamo hasi jinsi unavyoathiri tabia za vijana, hii inaambatana na dhima ya IYF (International Youth Fellowship) isemayo "BADILISHA FIKRA".
Kambi hii itawafanya vijana wengi kubadili fikra zao na kujenga fikra chanya zitakazowaletea maendeleo, pia kambi hii imekuwa ni sehemu mahususi kwa vijana kubadilishana uzoefu, kujengeana misingi ya kuvumiliana, kkujengana na kuthubutu.
Mbele ya vijana zaidi ya 2000 waziri alitambua umuhimu wa IYF kama moja ya chombo kinachoisaidia serikari kuwafikia vijana, kama ilivyo kwa NGO's nyingine kama MAMBO SAFI GROUP.
TAARIFA YA KONGAMANO LILILOFANYIKA TAR 31,JAN 2013
Mambo Safi Group tarehe 31/07/2013 tulikutanisha vijana na wakina mama 400 katika jimbo na Ubungo kuongelea maendeleo katika Nyanja mbalimbali za Ujasiriamali michezo na sanaa. Mgeni rasmi alikuwa Mh. LYIMO (MNEC) Wilaya ya Kinondoni Mambo Safi Group kuanzisha mashindano ya mpira wa miguu jimbo la Ubungo vijana wa timu shiriki wa tutakutana kesho tarehe 09/02/2013 katika ukumbi wa darajani pub saa 4.00 asubuhi kupanga makakati ya ligi hiyo inayotarajiwa kuanza hivi Karibuni.
MH. KOKA KUTEMBELEA MAMBO SAFI GROUP
Mambo Safi Group on Facebook
Mambo Safi Daily Quotes
Popular Blogs
-
BI. MARIAM ABDALLA IBRAHIM AMERUDISHA FOMU YA UBUNGE VITI MAALUM, PWANI - Bi. Mariam Abdallah Ibrahim amerumedisha fomu ya kuwania ubunge wa viti maalum mkoa wa Pwani. Katibu wa Uwt Mkoa wa Pwani,Mwashamba Pashua amemkabidhi ...
-
Job Opportunities at CBA BANK, Apply Before 8th of July 2017 - Job Opportunities at CBA BANK, Apply Before 8th of July 2017 [image: Job Opportunities at CBA BANK, Apply Before 8th of July 2017] Job Opportunities at Com...
-
Mtokeo ya Kidato cha Nne 2016 (2016 CSEE RESULTS) - Link inayofunguka haraka zaidi - Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2016 ambapo umefaulu wa jumla umeongezeka kwa 2.56% kutoka 67.53% mwaka 2...
-
Serunya Permainan Lego - permainan lego yaitu sebuah permainan yang telah terlihat sehak tahun 1949. bersumber dari denmark, ketika ini lego sudah diketahui nyaris di segala negara...
-
(Photo's) Hivi ndivyo NIKKI WA PILI na washkaji zake walivyokula ndoto ya MASTER OF ARTS IN DEVELOPMENT MANAGEMENT pale CHUO KIKUU CHA MLIMANI - Anajulikana na mashabiki kwa jina la Nikki wa Pili msanii wa Hip Hop nchini anayeliwakilisha lile kundi la WEUSI, jana tarehe 16 Nikki alikuwa ana gradu...
-
Popular Posts
-
Baraza la taifa la mitihani latangaza rasmi matokeo ya ualimu 2013, bofya link zifuatazo kuyaona matokeo hayo:- GATCE 2013 GATSCC...
-
Tazama picha hizi za wadau na wananchi wakishuhudia kandanda safi uwanya wa kimara baruti "Uoja na Amani Super Cup" jimbo la ubung...
-
ATHARI ZA MADAWA YA KULEVYA KWA VIJANA: Jamii hususani vijana wanashauriwa kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya mbayo yamekuwa y...
-
Mh. James Kajugusi, Mkurugenzi wa idara ya vijana Wizara ya habari, vijana, utamaduni na michezo alipotembelea MAMBO SAFI GROUP.
-
Mambo Safi Group tarehe 31/07/2013 tulikutanisha vijana na wakina mama 400 katika jimbo na Ubungo kuongelea maendeleo katika Nyanja m...
-
Mambo Safi Group, kundi lenye maskani yake Kimara-Baruti jijini Dar Es Salaam,liliandaa ligi ya mpira wa miguu iliyojulikana kwa jina la U...
-
Mambo Safi Group, kikundi cha vijana wenye ushawishi mkubwa katika kuhamasisha maendeleo kwa vijana hawakuwa nyuma katika kushiriki mbio za ...
-
“MAMBO SAFI GROUP” tarehe 06/01/2013 tutatembelewa na Mh. Koka mbunge wa jimbo la kibaha mjini atakaeambatana na mama Serina Koka na vi...
-
Hii ilikuwa si "dondo" kama vijana wasemavyo bali ni kabumbu safi iliyoonyeshwa na vijana wa Jimbo la ubungo huku jumla ya timu 32...
-
Dk.Fenella MukangaraWaziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo (Tanzania) amekua mgeni rasmi katika ufunguzi wa kambi ya vijana iliyoand...