Mambo Safi Group, kikundi cha vijana wenye ushawishi mkubwa katika kuhamasisha maendeleo kwa vijana hawakuwa nyuma katika kushiriki mbio za mwenge wa uhuru kwa mwaka 2014. Hapa vijana wa MSG walikua Tabora katika kilele cha mwenge na Nyerere day 2014.
MBUNGE ABOOD AKABIDHI MADAWATI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA TSH, MIL. 28
KATIKA SHULE YA SEKONDARI YA MAZIMBU MKOANI MOROGORO.
-
Madawati yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Mil. 28 yamekabidhiwa katika Shule
ya Sekondari ya Mazimbu Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro Mjini kama
sehemu ya...
0 comments:
Post a Comment